Maelezo ya Chini
a Moja ya vitabu vya Crespin vilivyotafsiriwa ni Book of Martyrs, That Is, a Collection of Several Martyrs Who Endured Death in the Name of Our Lord Jesus Christ, From Jan Hus Until This Year, 1554. Baadhi ya chapa zilizosahihishwa na kuongezwa ukubwa zenye vichwa na habari tofauti-tofauti zilichapishwa Crespin alipokuwa hai; na nyingine baada ya kifo chake.