Maelezo ya Chini
b Matibabu yasiyohusisha damu hutumiwa kama matibabu ya badala. Kwa kuwa kuna hatari nyingi zinazohusianishwa na kutiwa damu mishipani, matibabu na upasuaji usiohusisha kutiwa damu mishipani unazidi kupendwa na watu wengi ulimwenguni pote. Kutiwa damu mishipani kuna hatari ya kuambukizwa UKIMWI na maambukizo mengine na pia mwili kuathiriwa na damu hiyo.