Maelezo ya Chini a Katika nchi fulani, mbu wa aina nyingine, kama vile Aedes albopictus, pia huenda akabeba virusi vya kidingapopo.