Maelezo ya Chini
b Kitabu The Leading Facts of English History, cha D. H. Montgomery, kinasema kwamba mnamo 1534, Bunge lilipitisha ile Mamlaka Kuu, “iliyomtawaza Henry bila kupingwa kuwa kichwa pekee cha Kanisa, na yeyote aliyempinga angeshtakiwa kwa uhaini. Alipotia sahihi hati hiyo, Mfalme alipindua utamaduni wa miaka elfu moja, na Uingereza ikajisimamia ikiwa na Kanisa la Taifa lisilomtegemea Papa.”