Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Inaonekana kwamba wazo hilo lilitokana na maandishi ya askofu Mhispania, Isidore wa Seville (560-636 W.K.), aliyesema hivi: “Kuna lugha tatu takatifu, Kiebrania, Kigiriki, na Kilatini, na hizo ndizo lugha kuu ulimwenguni pote. Sababu ni kwamba shtaka dhidi ya Bwana lililoandikwa juu ya msalaba na Pilato lilikuwa katika lugha hizo tatu.” Bila shaka, uamuzi wa kuandika shtaka hilo katika lugha hizo tatu ulifanywa na Waroma wapagani. Uamuzi huo haukutoka kwa Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki