Maelezo ya Chini
a Dalili kama hizo huenda zikatokea wakati chembechembe za kalisi aina ya pyrophosphate zinaporundamana kwenye vifundo, na hasa ndani ya gegedu laini kwenye miisho ya mifupa. Hata hivyo, ugonjwa huo unaoitwa “pseudogout” ni tofauti ingawa unafanana na jongo na huenda ukahitaji matibabu tofauti.