Maelezo ya Chini
a Kituo cha Utafiti Kuhusu Magonjwa Yanayosababishwa na Misiba kinafafanua tetemeko la nchi linalosababisha msiba kuwa tukio linalotokeza angalau jambo moja kati ya mambo yafuatayo: watu 10 au zaidi wanakufa, watu 100 au zaidi wanaathiriwa, hali ya dharura inatangazwa katika nchi nzima, au tangazo linatolewa kuomba msaada wa kimataifa.