Maelezo ya Chini
b Magurudumu hayo (gyroscope) hufanyizwa kwa kiunzi kilichoshikilia sehemu iliyo kama kisahani ambacho huzunguka kwa kasi kwenye mhimili wake. Mhimili wa kisahani hicho haubadiliki licha ya msukumo wowote unaosababishwa na kitu kingine au na nguvu za sumaku au za uvutano. Kwa hiyo, magurudumu hayo yanaweza kutumiwa kutengeneza dira yenye uwezo mkubwa.