Maelezo ya Chini
c Matatizo mengine ya afya, kutia ndani ugonjwa wa dundumio, maambukizo, na pia dawa fulani zinaweza kumfanya mtu apatwe na joto la ghafula mwilini. Ni jambo la hekima mtu afanyiwe uchunguzi kabla ya kuamua kwamba joto la ghafula linasababishwa na kukoma kwa hedhi.