Maelezo ya Chini
a Jina Wamorisko linamaanisha “Waarabu” katika Kihispania. Wanahistoria wanatumia jina hilo kuwarejezea Waislamu ambao walibadili dini na kuwa Wakatoliki na kuendelea kuishi kwenye Rasi ya Iberia baada ya kushindwa kwa ufalme wa mwisho wa Kiislamu mwaka wa 1492.