Maelezo ya Chini
b Wanasayansi wamegundua aina tatu za nyangumi wanaopatikana katika kundi la right whale. Mbali tu na Eubalaena australis wanaopatikana katika Kizio cha Kusini, kuna aina nyingine mbili za nyangumi ambao hupatikana katika Kizio cha Kaskazini. Aina hizo ni Eubalaena glacialis na Eubalaena japonica.