Maelezo ya Chini
a Inapendekezwa kwamba wale walio na tatizo kubwa la mzio wabebe dawa aina ya adrenalini (epinephrine) wanayoweza kujidunga kwa sindano wanapopatwa na dharura. Baadhi ya wataalamu wa afya hupendekeza kwamba watoto walio na mzio wabebe au kuvaa alama fulani ambayo itawasaidia walimu au wanaowatunza kutambua kuhusu hali yao.