Maelezo ya Chini
a Fuata kwa uangalifu maagizo ya watengenezaji ili usipate madhara unapotumia vifaa vya kupasha au kupoza joto. Kwa mfano, vifaa fulani vina maagizo maalum kuhusu kuacha milango na madirisha wazi vinapokuwa vimewashwa, ili visisababishe madhara.