Maelezo ya Chini
b Marejezo mengine (kutoka karne ya pili na ya tatu) yenye kuunga mkono utumizi huu wa Matendo 15:28, 29 yanapatikana katika: Against Celsus VIII, 29, 30 cha Origen, na Commentary on Matthew XI, 12; The Instructor II, 7 cha Clement na The Stromata IV, 15; The Clementine Homilies VII, 4, 8; Recognitions of Clement IV, 36; Dialogue XXXIV cha Justin Martyr; Treatises XII, 119 cha Cyprian; The Teaching of the Twelve Apostles VI; Constitutions of the Holy Apostles VI, 12; On the Death of the Peregrinus 16 cha Lucian.