Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Kwa mfano, Hekatayo wa Abdera, mwanahistoria wa karne ya nne K.W.K., amenakiliwa na Yosefo katika kitabu Against Apion, Kitabu 1:22, kuwa aliandika hivi: “Wayahudi wana ngome nyingi na vijiji vingi katika sehemu mbalimbali za nchi, lakini wana mji mmoja tu wenye boma, ulio na mwendo wa mzunguko wa mastade 50 [karibu futi 33,000] na wakaaji kama 120,000; wanauita Yerusalemu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki