Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Lile neno la Kigiriki lililotumiwa hapa hutokana na neno la asili ba·sa·niʹzo, ambalo nyakati nyingine hutumiwa kuhusu mateso halisi; hata hivyo, laweza kutumiwa pia kuhusu mateso ya akilini. Mathalani, kwenye 2 Petro 2:8, NW tunasoma kwamba Loti “alikuwa akitesa nafsi yake yenye uadilifu” kwa sababu ya uovu alioona katika Sodoma. Viongozi wa kidini wa wakati wa kimitume walipatwa na mateso ya kiakili ingawa, bila shaka, ni kwa sababu tofauti sana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki