Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Angalia kwamba katika kuchunguza yanayopata maono ya watu wa Mungu wakati huu, inaonekana kwamba ingawa miezi 42 huwakilisha miaka mitatu na nusu halisi, siku tatu na nusu haziwakilishi kipindi halisi chenye saa 84. Inaelekea kwamba, kipindi mahususi cha siku tatu na nusu kimetajwa mara mbili (katika mstari wa 9 na 11) kukazia kwamba kingekuwa kipindi kifupi tu kikilinganishwa na miaka mitatu na nusu ya utendaji inayokitangulia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki