Maelezo ya Chini
a Tasitasi mwanahistoria Mroma anaripoti kwamba wakati Yerusalemu lilipotekwa katika 63 K.W.K. na Kneiusi Pompeiusi akaingia ndani ya patakatifu pa hekalu, alikuta pakiwa tupu. Halikuwamo sanduku la agano ndani.—Tacitus History, 5.9.