Maelezo ya Chini
b Hili linaungwa mkono na utumizi wa maneno ya Kiebrania katika njozi nyinginezo; Yesu hupewa jina la Kiebrania “Abaddoni” (linalomaanisha “Uharibifu”) naye hutekeleza hukumu mahali “paitwapo katika Kiebrania Har–Magedoni.”—Ufunuo 9:11; 16:16, NW.