Maelezo ya Chini
c Andiko husema “kana kwamba ni wimbo mpya,” kwa kuwa wimbo wenyewe ulirekodiwa katika maneno ya kiunabii katika nyakati za kale. Lakini hapakuwa na hata mmoja aliyestahili kuuimba. Sasa, kwa kuwa Ufalme umesimamishwa na watakatifu wamefufuliwa, mambo ya hakika yalikuwa yamebubujika na kwa utimizo wa unabii huo, nao ulikuwa ndio wakati wa kutamka maneno ya wimbo katika utukufu mkuu wao wote.