Maelezo ya Chini
b Kitabu cha historia cha William L. Shirer The Rise and Fall of the Third Reich hutaarifu kwamba von Papen alikuwa “mwenye daraka zaidi ya mwingine yeyote katika Ujeremani la Hitla kupata mamlaka.” Katika Januari 1933 aliyekuwa chansela wa Ujeremani von Schleicher alikuwa amesema hivi juu ya von Papen: “Yeye alithibitika kuwa aina ya haini ambaye kando yake Yudasi Iskariote ni mtakatifu.”