Maelezo ya Chini
d Mwanahistoria Myahudi wa karne ya kwanza Yoseph ben Mattityahu (Flavio Yosefo) asimulia kwamba Aleksanda alipofika Yerusalemu, Wayahudi walimfungulia malango na kumwonyesha unabii kutoka kitabu cha Danieli ulioandikwa miaka zaidi ya 200 mapema ambao ulieleza waziwazi ushindi mbalimbali wa Aleksanda akiwa ‘Mfalme wa Ugiriki.’—Jewish Antiquities, Kitabu cha 11, Sura ya 8 aya ya 5; Danieli 8:5-8, 21.