Maelezo ya Chini
j Encyclopaedia Judaica inasema: “Kuepuka kutamka jina YHWH . . . husababishwa na kuielewa vibaya Amri ya Tatu (Kut. 20:7; Kum. 5:11) kuwa humaanisha ‘Wewe hutalichukua jina la YHWH Mungu wako bure,’ hali kwa halisi humaanisha ‘Wewe hutaapa kwa ubandia kwa jina la YHWH Mungu wako.’”