Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Usemi “nafsi isiyoweza kufa” hauonekani popote ndani ya Biblia. Neno la Kigiriki linalotafsiriwa “-siyoweza kufa” na “kutokufa” huonekana mara tatu tu na hurejezea mwili mpya wa kiroho unaovaliwa au mtu kujipatia, wala si kitu kilicho ndani ya mtu. Hutumiwa kuhusu Kristo na Wakristo wapakwa-mafuta, wanaokuwa watawala wenzi pamoja naye katika Ufalme wake wa kimbingu.—1 Wakorintho 15:53, 54; 1 Timotheo 6:16; Warumi 8:17; Waefeso 3:6; Ufunuo 7:4; 14:1-5.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki