Maelezo ya Chini
c Maswali magumu ya kesi za hukumu yalishughulikiwa na mpango wa hukumu ulioonyeshwa waziwazi. (Kumbukumbu la Torati 17:8-11) Katika mambo mengine yoyote ya maana yaliyoonekana kutokuwa wazi, ili kupokea jibu la Mungu, taifa lilielekezwa, si kwa sheria ya mdomo, bali kwa Urimu na Thumimu mikononi mwa makuhani.—Kutoka 28:30; Mambo ya Walawi 8:8; Hesabu 27:18-21; Kumbukumbu la Torati 33:8-10.