Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Baadhi ya watu wamejaribu kufasiri maneno kwenye Kumbukumbu la Torati 17:8-11 kuwa yakidokezea pokeo la mdomo lililopuliziwa. Hata hivyo, kama ilivyotajwa katika kielezi cha chini kwenye fungu la 14, maneno hayo hushughulikia tu utaratibu wa hukumu katika kesi za hukumu. Angalia kwamba suala halikuwa kama desturi tofauti-tofauti au mapokeo yalipitishwa kupitia karne nyingi au la. Bila shaka kulikuwako mapokeo fulani yaliyopitishwa kwa habari ya jinsi ya kutimiza kihususa sehemu fulani za Sheria. Lakini uhakika wa kwamba pokeo limedumu muda mrefu hauthibitishi kwamba lilipuliziwa. Kwa mfano, angalia pokeo lililositawi kuhusu ile nyoka ya shaba.—Hesabu 21:8, 9; 2 Wafalme 18:4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki