Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

g Fundisho hilo, lililoendelezwa mwanzoni na Mafarisayo, lilikataliwa na wengi kati ya marika yao katika taifa la Kiyahudi. Masadukayo, wengi wao wakiwa makuhani, pamoja na Waesene wa karne ya kwanza, walikataa wazo hilo la Kifarisayo. Leo, Wakaraite (tangu karne ya nane W.K.), pamoja na harakati za Wapendao Mabadiliko na Wasiopenda Mabadiliko ya Dini ya Kiyahudi, hawaoni sheria hiyo ya mdomo kuwa yenye kupuliziwa kimungu. Hata hivyo, Dini ya Kiyahudi ya Orthodoksi leo huyaona mapokeo hayo kuwa yenye kupuliziwa na kuwa lazima yafuatwe pia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki