Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

g Kwa msaada wa habari hiyo hadithi yote ya Abrahamu huchukua maana mpya. Mungu hakuwa akimwomba Abrahamu amwue mwana wake ili kujaribu tu imani yake bali pia afanye drama ya mfano ili watu waweze kuelewa kwamba Mungu mwenyewe angeandaa dhabihu, mtu fulani ampendaye sana, kwa manufaa za milele za ainabinadamu. Yule aliyetolewa angekuwa Mbegu hasa ya Abrahamu, ambaye kupitia yeye Mungu alikuwa ameahidi kwamba “mataifa yote ya dunia yangejibarikia yenyewe.” (Mwanzo 22:10-12; 16-18; linganisha Yohana 3:16.) Ufanani na wazo ni wazi na hususa mno kuwa tukio la nasibu au ubuni wa werevu tu wa wanaume fulani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki