Maelezo ya Chini
e Baada ya muda askofu wa Roma, ambaye alidai kuwa mwandamizi wa Petro, alifikiriwa kuwa ndiye askofu mkuu zaidi na papa.—Ona Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu, kilichotangazwa (katika Kiingereza) na Watchtower Bible and Tract Society of New York, Inc., 1990, kurasa 270-272.