Maelezo ya Chini
f Kwa kupendeza, Dakt. Neander aonelea hivi: “Mkataa bandia ulifikiwa, kwamba kwa kuwa katika Agano la Kale mlikuwa mmekuwamo ukuhani wenye kuonekana uliohusishwa na utendaji wa jamii hususa ya wanaume, ni lazima pia uwemo katika lile [Agano] Jipya . . . Ule ulinganisho bandia wa ukuhani au upadri ule wa Kikristo na ukuhani wa Kiyahudi uliendeleza tena mwinuko wa uepiskopo juu ya cheo cha wapresbiteri.”—The History of the Christian Religion and Church, kilichotafsiriwa na Henry John Rose, Chapa ya Pili, New York, 1848, uku. 111.