Maelezo ya Chini
e Yalikuwa: Buku 2, The Time Is at Hand (1889); Buku 3, Thy Kingdom Come (1891); Buku 4, The Day of Vengeance (1897; baadaye likaitwa The Battle of Armageddon); Buku 5, The At-one-ment Between God and Man (1899); na Buku 6, The New Creation (1904). Wakati mabuku hayo ya Millennial Dawn yalipoanza kuitwa Studies in the Scriptures, Buku 1 liliitwa “Mfululizo 1,” Buku 2 likawa “Mfululizo 2,” na kadhalika. Jina Studies in the Scriptures lilitumiwa katika chapa chache kuanzia kama Oktoba 1904, na jina hilo jipya lilitumiwa kwa kawaida zaidi kuanzia 1906.