Maelezo ya Chini
g Ijapokuwa kulikuwa na majaribio ya mapema ya kuunganisha picha ya sinema na sauti, enzi ya picha zenye maneno ilianza katika Agosti 1926 kwa kutolewa kwa picha ya kilimwengu Don Juan (yenye muziki lakini bila maneno), ikifuatwa na The Jazz Singer (ikiwa na maneno) katika vuli ya 1927.