Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

h Rejezo kwa “kahaba mkubwa,” aliyetajwa katika Ufunuo Sura ya 17. Kitabu Enemies kilitaarifu hivi: “Matengenezo yote duniani ambayo yanapinga Mungu na ufalme wake . . . huchukua jina ‘Babiloni’ na ‘kahaba,’ na majina hayo hasa hutumika kwa lile tengenezo kuu la kidini, kanisa la Katoliki ya Roma.” (Ukurasa 198) Miaka mingi baadaye ilionwa kwamba kwa kweli kahaba huwakilisha milki ya ulimwengu ya dini zote bandia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki