Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

j Wakati ule, iliaminiwa kwamba wanaume waaminifu wa nyakati za kale, kama vile Abrahamu, Yusufu, na Daudi, wangefufuliwa kabla ya mwisho wa mfumo wa mambo na wangetumikia kuwa “wakuu katika dunia yote,” katika kutimiza Zaburi 45:16. (NW) Maoni hayo yalirekebishwa katika 1950, wakati funzo zaidi la Maandiko lilipoonyesha kwamba mababa hao wa kale wa kidunia wa Yesu Kristo wangefufuliwa baada ya ­Har–Magedoni.—Ona “Mnara wa Mlinzi,” (Kiingereza) Novemba 1, 1950, kurasa 414-417.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki