Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

k Katika 1978, wakati lilipoombwa litoe taarifa kwa ajili ya vyombo vya habari kuhusu msimamo wa Mashahidi wa Yehova kuhusu Uzayoni, Baraza Linaloongoza lilisema hivi: “Mashahidi wa Yehova huendelea kuchukua ule msimamo wa Kibiblia wa kutokuwamo kwa habari ya harakati na serikali zote za kisiasa. Wao wamesadikishwa kwamba hakuna harakati yoyote ya kibinadamu ambayo itatimiza kile ambacho ni ufalme wa kimbingu wa Mungu pekee uwezao kutimiza.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki