Maelezo ya Chini
f Yale ambayo Maandiko husema kuhusu nafsi yajulikana na wasomi Wayahudi pamoja na wale wa Jumuiya ya Wakristo, lakini yanafundishwa mara chache sana katika mahali pao pa ibada. Ona New Catholic Encyclopedia (1967), Buku 13, kurasa 449-450; The Eerdmans Bible Dictionary (1987), kurasa 964-965; The Interpreter’s Dictionary of the Bible, iliyohaririwa na G. Buttrick (1962), Buku 1, ukurasa 802; The Jewish Encyclopedia (1910), Buku 6, ukurasa 564.