Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika 1894, Ndugu Russell alipanga Zion’s Watch Tower Tract Society itume ndugu waliostahili wawe wasemaji. Ili wazitumie katika kujijulisha kwa vikundi vya mahali, walipewa vyeti vilivyotiwa sahihi. Vyeti hivyo havikutoa mamlaka ya kuhubiri wala havikuonyesha kwamba aliyosema mwenye cheti yalipasa kukubaliwa bila uchunguzi ufaao kwa msaada wa Neno la Mungu. Hata hivyo, kwa kuwa watu fulani walitumia vibaya kusudi lavyo, katika muda wa mwaka mmoja Ndugu Russell aliagiza arudishiwe vyeti hivyo. Kwa tahadhari yeye alijaribu kuepuka chochote ambacho watazamaji wangeweza kufasiri kuwa hata chafanana na jamii ya makasisi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki