Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

k Kitenzi cha Kigiriki khei·ro·to·neʹo kifafanuliwapo kuwa chamaanisha tu ‘kuchagua kwa kunyoosha mkono,’ hilo hushindwa kuangalia maana ya baadaye ya neno hilo. Hivyo, A Greek-English Lexicon, ya Liddell na Scott, iliyohaririwa na Jones na McKenzie na kuchapwa upya katika 1968, hufafanua neno hilo kuwa likimaanisha “kunyoosha mkono, kwa kusudi la kutoa kura ya mtu katika kusanyiko . . . II. c. acc. pers. [kwa kuhusu mtu], kuchagua, [kwa kufaa] kwa wonyesho wa mikono . . . b. baadaye, kijumla, kuweka rasmi, . . . kuweka rasmi kwenye cheo Kanisani, [pre·sby·teʹrous] Act. Ap. [Matendo ya Mitume] 14.23.” Utumizi huo wa baadaye ulikuwa ukiendelea katika siku za mitume; neno hilo lilitumiwa katika maana hiyo na mwanahistoria wa Kiyahudi Yosefo wa karne ya kwanza katika Jewish Antiquities, Buku 6, sura ya 4, fungu 2, na sura ya 13, fungu 9. Muundo wa kisarufi wenyewe wa Matendo 14:23 katika Kigiriki cha awali huonyesha kwamba Paulo na Barnaba ndio waliofanya yale yaliyoelezwa humo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki