Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

l Baadaye katika mwaka huohuo, 1938, Organization Instructions, kilichotangazwa kikiwa kijarida cha kurasa nne, kilitoa mambo mengi zaidi. Kilieleza kwamba kutaniko la mahali lilipaswa kuweka rasmi halmashauri ya kutenda kwa niaba yalo. Halmashauri hiyo ilipaswa kufikiria akina ndugu kwa msaada wa sifa zilizoonyeshwa katika Maandiko na kutoa mapendekezo kwa Sosaiti. Wawakilishi wa Sosaiti wasafirio walipotembelea makutaniko, walipitia sifa na uaminifu wa ndugu wa mahali katika kutunza migawo yao. Mapendekezo yao yalifikiriwa pia na Sosaiti wakati wa kuwekwa rasmi kwayo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki