Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

f Katika 1879, makao makuu yalikuwa kwenye 101 Fifth Avenue, Pittsburgh, Pennsylvania. Ofisi zilihamishiwa 44 Federal Street, Allegheny (Upande wa Kaskazini mwa Pittsburgh), katika 1884; na baadaye mwaka huohuo, kwenye 40 Federal Street. (Katika 1887, hiyo iliitwa 151 Robinson Street.) Nafasi zaidi ilipohitajiwa, katika 1889, Ndugu Russell alijenga Bible House, ionyeshwayo upande wa kushoto, kwenye 56-60 Arch Street, Allegheny. (Baadaye hiyo ilipewa nambari mpya 610-614 Arch Street.) Kwa kipindi kifupi katika 1918-1919, kwa mara nyingine tena walikuwa na ofisi yao kuu katika Pittsburgh, katika orofa ya tatu kwenye 119 Federal Street.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki