Maelezo ya Chini
f Hata kabla ya 1900 kijitabu kiitwacho Suggestive Hints to Colporteurs kilipelekwa kwa wale waliojiandikisha kwa ajili ya utumishi huo wa pekee. Kuanzia 1919 kichapo Bulletin kilitangazwa kuandaa kichocheo kwa ajili ya utumishi wa shambani, kwanza katika kugawanya The Golden Age na baadaye kwa habari ya namna zote mbalimbali za utendaji wa kueneza evanjeli.