Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kazi ya uchungaji ilipangwa kwanza wakati wa 1915-1916 katika makutaniko 500 hivi yaliyokuwa yamemchagua Ndugu Russell kuwa pasta wao. Akiwa pasta, alikuwa amewaandikia barua akionyesha muhtasari wa kazi, ambayo hapo kwanza ilihusisha akina dada tu. Mwaka uliofuata akina ndugu pia walihusishwa katika utendaji huo. Kazi hiyo ya uchungaji, iliyofanywa na kikundi kilichochaguliwa, iliendelea hadi 1921

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki