Maelezo ya Chini
c Kushindwa kupata makaa-mawe hakukusababishwa tu na upungufu wa wakati wa vita. Hugo Riemer, aliyekuwa mshiriki wa wafanyakazi wa makao makuu wakati huo, aliandika baadaye kwamba kwa msingi ni kwa sababu ya chuki dhidi ya Wanafunzi wa Biblia iliyokuwa nyingi sana katika New York wakati huo.