Maelezo ya Chini
d Kupiga chapa kwa matbaa za maandishi yaliyoinuliwa hufanywa katika sehemu iliyoinuliwa ambayo huwa na taswira ya yale yatakayochapwa katika ukurasa. Sehemu hiyo iliyoinuka hupakwa rangi na kushindiliwa kwenye karatasi. Kupiga chapa kwa ofseti hufanywa kwa kutia alama kwa bamba lenye rangi juu ya silinda iliyofunikwa kwa mpira na kisha kuhamisha alama hiyo kwenye karatasi.