Maelezo ya Chini
a Kama ilivyoonyeshwa na Watch Tower la Julai 15, 1892 (uku. 210), jina Watch Tower Bible and Tract Society lilikuwa limetumiwa kwa miaka mingi kabla ya jina hilo kusajiliwa kihalali. Trakti iliyochapwa katika 1890 katika ule mfululizo wa trakti za Old Theology ilitambulisha watangazaji kuwa Tower Bible and Tract Society.