Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kwa kielelezo, Wayoruba wa Nigeria wana imani ya kimapokeo ya nafsi kuzaliwa upya katika mwili mwingine. Kwa hiyo mama anapofiwa na mtoto, kuna huzuni nyingi lakini ni kwa kipindi kifupi tu, kwani kama vile kibwagizo (kiitikio) fulani cha Kiyoruba kisemacho: “Maji ndiyo yamemwagika. Kibuyu hakijavunjika.” Kulingana na Wayoruba, hicho chamaanisha kwamba kile kibuyu kibebacho maji, yaani mama, aweza kuzaa mtoto mwingine—labda nafsi iliyozaliwa upya ya yule aliyekufa. Mashahidi wa Yehova hawafuati mapokeo yoyote yenye msingi wa ushirikina mbalimbali unaotokana na mawazo bandia juu ya kutokufa kwa nafsi na kuzaliwa upya katika mwili mwingine, ambayo hayana msingi katika Biblia.—Mhubiri 9:5, 10; Ezekieli 18:4, 20.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki