Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kuandikishwa huko kuliwezesha Milki ya Roma itoze watu kodi vizuri zaidi. Kwa hiyo bila kujua, Augusto alisaidia kutimiza unabii juu ya mtawala ambaye ‘angepitisha mwenye kutoza ushuru kati ya ufalme.’ Unabii uo huo ulitabiri kwamba “Kiongozi wa agano,” (NW) au Mesiya, ‘angevunjika’ katika siku za mrithi wa mtawala huyo. Yesu aliuawa wakati wa utawala wa Tiberio, mrithi wa Augusto.—Danieli 11:20-22.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki