Maelezo ya Chini
a Katika Uislamu, Biblia ni vile vitabu vinavyoitwa Taurati, Zaburi, na Injili. Angalau aya 64 za Kurani husema kwamba vitabu hivyo ni Neno la Mungu na hukazia uhitaji wa kuvisoma na kutekeleza amri zake. Watu fulani hudai kwamba Taurati, Zaburi, na Injili zimebadilishwa. Hata hivyo, kusema hivyo ni kupuuza maneno ya Kurani na ni kusema kwamba Mungu hawezi kuhifadhi Neno lake.