Maelezo ya Chini
a Kulingana na Uislamu, Biblia ina vitabu vinavyoitwa Taurati, Zaburi, na Injili. Angalau aya 64 za Kurani zinasema kwamba vitabu hivyo ni Neno la Mungu, nazo hukazia umuhimu wa kuvisoma na kutekeleza amri zake. Watu fulani hudai kwamba Taurati, Zaburi, na Injili zimepotoshwa. Wale wanaodai hivyo ni kana kwamba wanasema Mungu hawezi kulihifadhi Neno lake mwenyewe.