Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Kitabu Textual Criticism of the Hebrew Bible, cha Emanuel Tov, chataarifu hivi: “Kwa msaada wa uchunguzi wa kaboni 14, 1QIsaa [Hatikunjo ya Isaya ya Bahari Iliyokufa] sasa imepewa tarehe ya kati ya mwaka wa 202 na 107 KWK (tarehe ya uchunguzaji wa maandishi ya kale: 125-100 KWK) . . . Njia iliyotajwa ya kuchunguza maandishi ya kale, iliyoboreshwa katika miaka ya majuzi, na inayoruhusu uwekaji wa tarehe ulio mkamilifu kwa msingi wa kulinganisha umbo na mpangilio wa herufi na vyanzo vya nje kama sarafu na michoro, imejithibitisha kuwa njia yenye kutegemeka kwa kulinganisha.”6

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki